TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
TRA sijui niseme wamekosa ubunifu ktk kutoa huduma zao au wapowapo tu kutumia nguvu ktk kutimiza majukumu yao?
Ili uweze kupata nambari ya mlipa kodi TIN nilazima uwe na na kitambulisho cha NIDA,ambao nao wapowapo tu kama msumari nilazima wagongwe ndio waendee,mtu akienda kuomba TIN na hana NIDA anaambiwa akatafute NIDA ambayo inaweza mchukua mpaka miezi 7 hajapatiwa na kwa wakati huo huo wanaendelea kumfuatilia ktk biashara yake kiasi kwamba anaamua kufunga biashara,je hamuoni kama mna athiri biashara Za watu.
TRA fanyeni integration ya mifumo yenu ya usajiri wawalipa kodi na mfumo wa NIDA,na katika kila ofisi ya TRA awepo afisa wa NIDA au mtumishi wenu aliyepewa mafunzo na NIDA namna ya kufanya usajiri,ili Mtulo akija kuomba TIN na hana kitambulisho asajiriwe hapo hapo na apate namba ya NIDA hapo hapo siku hiyohiyo pamoja na TIN yake NIDA aende kufuata kitambulisho tu.
Sambamba na hilo mfumo wa NIDA ufanyiwe marekebisho use na uwezo Wakutengeneza nambari Za utambulisha online kupitia TRA.
TRA kitengo chenu cha IT kiwe na ubunifu basi kuna mambo ni mepesi tu