TRA rekebisheni mtandao wenu

TRA rekebisheni mtandao wenu

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2007
Posts
2,903
Reaction score
1,360
Mtandao wa TRA hasa kwenye efiling system unasumbua sana. Unaweza kutumia zaidi ya siku mbili bado hujaweza kufanya malipo. Halafu kuna suala la faini ; ukichelewa kufile return faini, ukichelewa kulipa fani bila kujali usumbufu wa mtandao wao.

Mnapaswa kujua kuwa mfumo huo ndio njia ya kuliingizia mapato Taifa kwa haraka - naomba mrekebishe na kama hatujakaa sawa kimtandao basi turudi sysytem ya zamani ya kuwasilisha makaratasi ofisi za TRA wilayani
 
Kipindi cha Magu ulikuwa hausumbui hivi, sijui sasa kimetokea nini
 
Back
Top Bottom