Mtandao wa TRA hasa kwenye efiling system unasumbua sana. Unaweza kutumia zaidi ya siku mbili bado hujaweza kufanya malipo. Halafu kuna suala la faini ; ukichelewa kufile return faini, ukichelewa kulipa fani bila kujali usumbufu wa mtandao wao.
Mnapaswa kujua kuwa mfumo huo ndio njia ya kuliingizia mapato Taifa kwa haraka - naomba mrekebishe na kama hatujakaa sawa kimtandao basi turudi sysytem ya zamani ya kuwasilisha makaratasi ofisi za TRA wilayani