Still naikumbuka interview ya arusha tech college.Kwa nafasi ya tutorial assistant waliita watu,then wakaanza na written,cha kushangaza watu waliambiwa wasifanye hiyo interview cause walikuwa hawana certificate ya chuo.Sasa,nlijiuliza vipi walisholisti watu kwa kutumia transcript,didn't they know it be4?4 ril,hiki chuo ni cha ubabaishaji sana,they are not serious.How could they shortlist 150 people 4 only 10 post,na kati ya hizo 10 posts walikuwa na watu wao!Wamesumbua sana watu,i hated that,sio uungwana ule.