DOKEZO TRA, TAKUKURU na Uhamiaji mko wapi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ungesoma ungekuwa wizarani
 
Mkuu jaribu kusoma kwa umakini basi!

Kiwanda sio cha wahindi, ni cha Watanzania kaka wewe na Mimi hapa! Ila wahindi ndiyo wameajiriwa hapo! Siwezi sema nilipwe sana na watoto wa mwenye kiwanda au kampuni,ni mjinga pekee ndiyo anaweza dhani hivi
 
Ungesoma ungekuwa wizarani
Duh! Hivi unadhani wote walioko huku hawana Elimu?? Hivi unadhani wote wenye Elimu wapo wizarani?? Au unadhani wote waliopo wizarani wamesoma?? Usiwe na akili fupi kama za Hamis Kigwangala
 
Mkuu jaribu kusoma kwa umakini basi!

Kiwanda sio cha wahindi, ni cha Watanzania kaka wewe na Mimi hapa! Ila wahindi ndiyo wameajiriwa hapo! Siwezi sema nilipwe sana na watoto wa mwenye kiwanda au kampuni,ni mjinga pekee ndiyo anaweza dhani hivi
Hizo machine za kiwanda zinatoka nchi gani ni Tanzania au India?
 
Nenda Makao makuu TRA, Ulizia Tax Investigation Department, utapata msaada.Na pia,unaweza kupata chochote kitu hadi kufikia 20M kwa kureport ukwepaji wa kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…