Hapo umemaliza kila kitu nakushukuru sanaMkuu chukua hiyo 1.6M zidisha kwa miezi 12 kwanza then kwa asimilia 30 unapata kama 5.76M gawanya kwa nne upate kila quarter unatakiwa upeleke kiasi gani sawa na Tzs 1.44 kwa kila quarter na ww kwa ulinganifu quarter yako deadline zake ni kama ifuatavyo febr 28,May 31,Aug 31 na Nov 30,fomu ingia kwa website ya tra ucheki sehemu wameandika forms then unadownload mkuu wangu hapo unapeleka tra wanapiga muhuri plus cheque ya malipo kaka kwisha au nenda ofisi kwao wanatoa hizo form ni bure.
Note: Only Profit is taxed. :bored:
What profit is not taxable in taxing country? :bored:Not Profit Chief Only Taxable Profit is taxed! πoa
Hapo umemaliza kila kitu nakushukuru sana
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
What profit is not taxable in taxing country? :bored:
Huo ni mwanga tu mkuu wangu ni vizuri kutafuta mtu mwenye ujuzi mzuri wa kodi (tax consultant) awe anakushauri.Kodi ina mambo mengi sana ndio maana nikwambia mdau mmoja hapo juu kuwa kodi haikatwi kwenye Profit bali Taxable Profit ili ujue kama biashara yako ni potential kidogo usione tabu kumlipa mtu kidogo akakusaidia kupunguza gharama kubwa za kodi baadae.
Accounting Profit is not Taxable Profit chief :A S 39:
Mkuu MTAZAMO kile ulichonena kimereflect ID yako. Umetoa ushauri sahihi kwa mdau hapo juu,nami namwomba afanye hivyo. Kwa lolote anaweza ni PM niko tayari kumsaidia.
Mkuu MTAZAMO kile ulichonena kimereflect ID yako. Umetoa ushauri sahihi kwa mdau hapo juu,nami namwomba afanye hivyo. Kwa lolote anaweza ni PM niko tayari kumsaidia.
Stefano Mtangoo kama fursa twenzetu!
Am not an accountant nor Tax consultant so, in this arena... You win hands down π
Hahahaa! Ujuzi hauozi aisee! :welcome:Usihangaike Chief, nashukuru kwa fursa lakini siku hizi nimeamua kuwa mkulima on full time basis :twitch:
Habari wana jamvi. Naomba msaada wenye ujuzi kuhusu malipo yaincome tax . All details are as follows: Company income per month is Tshs 6m . Expenses like rent and other is 1m . Salaries bill is 3,4m. Profit per month is 1,6m . How much is tax payable per quarter year and where do I get these tax returns forms. Company is registered has TIN number and licence and will start operating Dec 01 2013. Your contribution will be highly appreciated.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Got your point mkuu thank you so much.Simple analysis: Profit per 3 months =4.8m: Corporation tax thereof (for these 3 months) 30%*4.8m=1.44m Hence multiplying this by 4 you get yearly tax to be paid which will be 5.76m. But this is paid in March, June, September and December (refer section 88(2)of the income tax act 2004). For your case, you will pay in the following order March1.44m, June 1.44m September1.44m December 1.44m making a total of 5.76m
Refer section 89(2)(a)(i) read with 1st schedule paragraph 3(1) and section 89(3)of the income tax act 2004.
Show me how to attach the forms here, you will get within a minute!!!