mwamasangu
Member
- May 12, 2017
- 36
- 28
Kwa sasa wewe jitahidi kabla ya hiyo tarehe 15/7/2017 upange hiyo foleni kama ya Loliondo kwa babu wa kikombe ulipie, hayo mambo mengine labda kuanzia mwezi wa Agosti, 2017 system ikiianza kupokea za mwaka 2017/18. Hizi tunazolipa hadi tarehe 15/7 bado zinasoma niza mwaka jana wa fedha 2016/17
Faini sio kubwa sana, kwa mfano kama ilikuwa ulipe bila faini kiasi cha Tshs.15,000/= faini itakuwa ni Tshs.75,000/= halafu ujumlishe na hiyo Tshs.15,000/= uliyotakiwa kulipa kwa hiyo utalipa kwenye kiasi cha pesa za kitanzania shilingi 90,000/=Fine itakuwa kiasi Gani. Maana kwa foreni zile naona bora nisubiri tarehe 16 July nilipe na fine tu.
Faini sio kubwa sana, kwa mfano kama ilikuwa ulipe bila faini kiasi cha Tshs.15,000/= faini itakuwa ni Tshs.75,000/= halafu ujumlishe na hiyo Tshs.15,000/= uliyotakiwa kulipa kwa hiyo utalipa kwenye kiasi cha pesa za kitanzania shilingi 90,000/=
Unaweza kulinganisha muda wa kukaa foleni kama utakuwa mrefu kiasi kwamba ungeweza kuingiza pesa nyingi zaidi ya hiyo elfu 90 basi ni bora ufanye shughuli zako ambazo utapata fedha za kutosha then siku ukiwa na nafasi utaenda ulipe na fainiAsante kwa ufafanuzi wa kina. Mwenye macho haambiwi tazama. Lazima niwahi tu sasa akuna jinsi.