A ALWATAN KIZIGO JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 539 Reaction score 644 Mar 20, 2013 #1 Wanajamvi samahani lakini naomba mnijuze. Eti kati ya mashirika hayo matatu lipi linaongoza kwa kulipa mshahara mnono kwa begginers na marupurupu mengine. Akhsanteni
Wanajamvi samahani lakini naomba mnijuze. Eti kati ya mashirika hayo matatu lipi linaongoza kwa kulipa mshahara mnono kwa begginers na marupurupu mengine. Akhsanteni
Q Qsm JF-Expert Member Joined Dec 11, 2008 Posts 450 Reaction score 262 Mar 20, 2013 #2 Nenda HAZINA utapata kila kitu! hao unawaza wanalipwa pesa nyingi utashangaa ukipewa majina ya makampuni na mashirika mengine ambayo hujayataja!
Nenda HAZINA utapata kila kitu! hao unawaza wanalipwa pesa nyingi utashangaa ukipewa majina ya makampuni na mashirika mengine ambayo hujayataja!