TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga

login-logout

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
246
Reaction score
363
TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu).

Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.
 
Lazima kuna sababu, hawawezi tu kumpeleka mfanyabiashara Mahakamani
 
TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu).

Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.
Sheria inawazuia TRA kufanya hivyo???
 
Masalia ya dicteta,IPO haja ya kupangua pangua Hawa watumishi,wajifunze kukaa na wafanya bishara na kuwaelimisha although LENGO LA MFANYA BIASHARA WA KITANZANIA NI ASILIPE KODI.
 
Sheria inawazuia TRA kufanya hivyo???
Sheria ipo ila ina mapungufu sana ndo maana , mama alupoingia alijaribu kuipooza sheria na matamko!

Tra wakitaka kukubana wanakupa kesi ya uhujumu uchumi!! Hakunaga dhamana kwa kesi za aina hii na hata kutodai risiti kunaangukia kwenye uhujumu uchumi.

Fikiria uanze kusota segerea kwa miezi kwa kutokuwa na risiti ya 50,000
 
Hujui impact ya hiyo risiti mzee, we kaa nyumbani ulee watoto. Kwahiyo kwa akili yako wakitokea watu 200k wasiotoa risiti za bei hiyo tu unahisi Serikali itapoteza mapato ya kiasi gani? Na je ikiwa ni kila siku idadi hiyo ikitokea unahisi tutapoteza mapato kwa kiwango gani.??
 
Haya maneno ya majukwani na kwenye press kutoka kwa viongozi au kiongozi hatuyataki kwani sio Sheria bali ni mapambio tu

Eti Rais kasema ndio inakuwa sheria hayo ni maneno ya wanasiasa tu
Pindi anaposema kitu kama inakuwa sheria lazima iwe imesainiwa na imefika Bungeni

La sivyo watu watarudia yaleyale
 
Akuna namna zaidi ya kwenda sawa na tra tofauti na hapo utaumia ndugu yangu.na hakuna wakukusaidia labda uwe kwenye cheni ya walaji wa keki ya nchi.
 
TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu).

Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.
Alipe kodi acheni maneno mengi
 
TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu).

Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.
Lipeni Kodi hakuna atakaekutetea
 
Hujui impact ya hiyo risiti mzee, we kaa nyumbani ulee watoto. Kwahiyo kwa akili yako wakitokea watu 200k wasiotoa risiti za bei hiyo tu unahisi Serikali itapoteza mapato ya kiasi gani? Na je ikiwa ni kila siku idadi hiyo ikitokea unahisi tutapoteza mapato kwa kiwango gani.??

Wala huja examine situation niliyokuwa naongelea yet umekuja kwenye conclusion

Hebu niambie receipt unayojazia mafuta hapo petrol station unaweza kujua validity yake ? Kuna details zozote za mnunuzi za kunijulisha kuwa mimi xx nimejaza mafuta hapo sheli yy?

Unafahamu kuwa receipt isiyo na jina kwa sheria za Tra ni receipt batili? Na with that it can land you in jail Kwa uhujumu uchumi.?

Ndo maana tukasema sheria zina mapungufu .Asilimia kubwa ya wafanyabiashara wanaishi kwa kutumia kudura na huruma za Tax officers, ukishakutana na rogue Tax officers chances za kukukomoa kwa kutumia sheria zipo tele ! Ni yeye tu aamue akufilisi au akuweke ndani usote jela etc.
 
Hujui impact ya hiyo risiti mzee, we kaa nyumbani ulee watoto. Kwahiyo kwa akili yako wakitokea watu 200k wasiotoa risiti za bei hiyo tu unahisi Serikali itapoteza mapato ya kiasi gani? Na je ikiwa ni kila siku idadi hiyo ikitokea unahisi tutapoteza mapato kwa kiwango gani.??
Bora ipotee tu kwasabab hayo mapato yanaishia kwa matumbo yao.
 
TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu).

Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.
hivi tra kazi yao si ni kukusanya kodi? wamekuja na bunduki ??? maana unavyosema kutisha . sasa kama unafanya biashara yako na unalipa kodi yako kwa nini uwaogope na kwa nini wakufate wewe tu? hebu leta nini hasa chanzo cha tatizo.
 
Back
Top Bottom