login-logout
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 246
- 363
Lazima kuna sababu, hawawezi tu kumpeleka mfanyabiashara MahakamaniTRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu).
Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.
Sheria inawazuia TRA kufanya hivyo???TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu).
Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.
Masalia ya dicteta,IPO haja ya kupangua pangua Hawa watumishi,wajifunze kukaa na wafanya bishara na kuwaelimisha although LENGO LA MFANYA BIASHARA WA KITANZANIA NI ASILIPE KODI.TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu).
Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.
Sheria ipo ila ina mapungufu sana ndo maana , mama alupoingia alijaribu kuipooza sheria na matamko!Sheria inawazuia TRA kufanya hivyo???
Hujui impact ya hiyo risiti mzee, we kaa nyumbani ulee watoto. Kwahiyo kwa akili yako wakitokea watu 200k wasiotoa risiti za bei hiyo tu unahisi Serikali itapoteza mapato ya kiasi gani? Na je ikiwa ni kila siku idadi hiyo ikitokea unahisi tutapoteza mapato kwa kiwango gani.??Sheria ipo ila ina mapungufu sana ndo maana , mama alupoingia alijaribu kuipooza sheria na matamko!
Tra wakitaka kukubana wanakupa kesi ya uhujumu uchumi!! Hakunaga dhamana kwa kesi za aina hii na hata kutodai risiti kunaangukia kwenye uhujumu uchumi.
Fikiria uanze kusota segerea kwa miezi kwa kutokuwa na risiti ya 50,000
Wakati mama Samia anasema hataruhusu TRA wafunge account za wafanyabiashara alikua hajui Sheria ipo?Sheria inawazuia TRA kufanya hivyo???
Alipe kodi acheni maneno mengiTRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu).
Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.
Unadeal na maneno ya wanasiasa au unadeal na sheria? KalagabahoWakati mama Samia anasema hataruhusu TRA wafunge account za wafanyabiashara alikua hajui Sheria ipo?
Lipeni Kodi hakuna atakaekuteteaTRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu).
Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.
Hujui impact ya hiyo risiti mzee, we kaa nyumbani ulee watoto. Kwahiyo kwa akili yako wakitokea watu 200k wasiotoa risiti za bei hiyo tu unahisi Serikali itapoteza mapato ya kiasi gani? Na je ikiwa ni kila siku idadi hiyo ikitokea unahisi tutapoteza mapato kwa kiwango gani.??
Bora ipotee tu kwasabab hayo mapato yanaishia kwa matumbo yao.Hujui impact ya hiyo risiti mzee, we kaa nyumbani ulee watoto. Kwahiyo kwa akili yako wakitokea watu 200k wasiotoa risiti za bei hiyo tu unahisi Serikali itapoteza mapato ya kiasi gani? Na je ikiwa ni kila siku idadi hiyo ikitokea unahisi tutapoteza mapato kwa kiwango gani.??
hivi tra kazi yao si ni kukusanya kodi? wamekuja na bunduki ??? maana unavyosema kutisha . sasa kama unafanya biashara yako na unalipa kodi yako kwa nini uwaogope na kwa nini wakufate wewe tu? hebu leta nini hasa chanzo cha tatizo.TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga, wanafunga tena account za watu ( biashara na kuchukua pesa za watu).
Hasa TRA mkoa Singida nimepata kesi kwa rafiki yangu wamefunga account yake, walichukua hela na sasa wanamsumbua kwa madai watamfunga.