Tra wanatusumbua

Tra wanatusumbua

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Tra wametuandama wanataka records zetu za biashara kuanzia 2015 mpaka 2017 . records zenyewe zijakamilika na kuna kodi ambazo hatujawai lipa, nisaidieni ushauri kama kuna madhara ya kutotoa records au nifanyaje. Maana Siku hizi hawapokei ongo
 
waelezee ukweli tu na kama kuna faini walipe tu la sivyo watakuandama hadi ufunge biashara yako
 
Tra wametuandama wanataka records zetu za biashara kuanzia 2015 mpaka 2017 . records zenyewe zijakamilika na kuna kodi ambazo hatujawai lipa, nisaidieni ushauri kama kuna madhara ya kutotoa records au nifanyaje. Maana Siku hizi hawapokei ongo
Ungewahi ungeomba Amnesty ili uondolewe malimbikizo ya penalty na interest hvyo hakuna jinsi utabid ulipe kodi na penalty plus interest zao lakini unaweza kutumia Tax consultant akusaidie kaika kucalculate interest halisi maana TRA wanaweza kutumia rate ya zamani wakati BOT washafanya amendments ya statutory rate(From 12% to 7%).
 
Back
Top Bottom