TRA-written interview

TRA-written interview

SOKETI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Kwa walioaply TRA barua za kuhudhuria written intervew zimeshatoka, interview itafanyika tarehe 26 msimbazi cente.
 
Hiyo written interview inahusu nini? Unatakiwa uandike nini?
 
wamewatumia watu barua mkuu..
 
Mtoa mada em funguka zaidi, walio apply TRA nafasi zipi na lini?. Ninacho kifahamu ni kuwa kuna nafasi walitangaza january zile za ass customs officer zilikua 40, na watu wengi tunazisubiria, je una maanisha nafasi hizo? imekuaje safari hii hawajapiga simu?
 
Wadau, ni kweli. Mimi nimepigiwa simu pamoja na kuambiwa niende posta kuchukua barua yangu niende nayo, pamoja na ID, calculater na peni... Msimbazi centre

Hizi ni zile kazi za January nafaci 40.
 
Wadau, ni kweli. Mimi nimepigiwa simu pamoja na kuambiwa niende posta kuchukua barua yangu niende nayo, pamoja na ID, calculater na peni... Msimbazi centre

Hizi ni zile kazi za January nafaci 40.

Kaka ahsante kwa confirmation vp umepigiwa lini kiongozi?
 
Dah mlioitwa hongereni sana na tuliokosa tusikate tamaa one day yes na nawatakia kila la kheri
 
faster hivyo? hizi ni zile kazi za juzi au?
 
Km kuna mtu anajua vigezo exactly walivyotumia atujulishe ili tuliokosa tujiridhishe kuwa tumekosaa kihalali
 
Nimepigiwa leo asubuhi. Cut off ya GPA ni 3.9 and above only mdau

mdau hayo ya cut off umeyajuaje na wewe umepigiwa cm tu, haya mambo ya kuhisi hisi si mazuri, wapo waliopigiwa chini ya hapo usidanganye!
 
Mtoa mada em funguka zaidi, walio apply TRA nafasi zipi na lini?. Ninacho kifahamu ni kuwa kuna nafasi walitangaza january zile za ass customs officer zilikua 40, na watu wengi tunazisubiria, je una maanisha nafasi hizo? imekuaje safari hii hawajapiga simu?

Nafasi 40 mlio omba mtakuwa zaidi ya 2000
 
Mhhh ....mdogo wangu ana gpa ya 4.0 hawajampigia simu, kashachanganyikiwa nilivyomtaarifu naona kakimbilia posta kubahatisha labda wamemtumia barua
 
Back
Top Bottom