Wana jamvini!kwanza aslam alyekum. Mimi ni mmoja kati ya watu walioomba nafasi zile 40 za assistant customs officer.Kiukweli nilikuwa nategemena sana kuitwa kwenye interview mana nina vigezo vinavyohitajika.Juzi nilipoona hii thread kuwa tra wameshaita watu kwenye interview nilichanganyikiwa sana mana nilijua nishaachwa.Nikaenda posta lakini sikukuta kitu.Lakini jana hiyo hiyo nikapigiwa simu majira ya saa 11 jioni kuwa niende nikachukue barua pale tra leo.
My take.
Kwanza ambao hamjaitwa bado msikate tamaa mana process ya kuitwa ni bado inaendelea.
Pili,nasikia jamaa wameamua kupiga simu kwa kila aliyekuwa shortlisted,sasa incase ukapigiwa na ukasema kuwa wewe upp dar,utaambiwa uende pale tra HQ ukachukue barua ,au ukapigia lakini ukawa haupo dar or umepigiwa but hupatikani kwenye cm or hukupokea cm then wataituma straight kwenye box yako.
So wanajamvini msiwe na wasiwasi kwa kuona kuwa ushaachwa.Bado muda hupo.