TRA yashauri Serikali kuanzisha somo la Elimu ya Kodi

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1664120877856.png

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo tarehe 25/09/2022 mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Uboreshaji wa Mitaala inayoongozwa na Profesa Makenya Maboko jijini Dodoma, imependekeza kuingizwa kwa elimu ya kodi katika mitaala ya elimu nchini Tanzania kuanzia kwenye Shule za Msingi hadi Sekondari.

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi TRA Richard Kayombo amesema Mamlaka hiyo inaamini kwamba kama kungekua na somo la kodi linalosomwa na Wanafunzi wote katika shule za Msingi na Sekondari basi Taifa lingeweza kuwa na Raia wengi wanaoelewa kuhusu kodi.

Amesema TRA inakusanya kodi kutoka kwa Walipa kodi wengi ambao hawana ufahamu au hawajui umuhimu wa kulipa kodi hivyo kama Wanafunzi watafundishwa somo la kodi Shuleni itasaidia kupata Raia wenye uelewa mpana kuhusu kodi na kujenga utamaduni wa kulipa kodi kwa hiari.

Baada ya TRA kuwasilisha maoni hayo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Maboko amewashukuru kwa mapendekezo waliyoyatoa na kuahidi kuyafanyia kazi katika maboresho ya Mtaala wa Elimu yanayoendelea kufanywa nchini Tanzania.
 
View attachment 2367893

Ni hii tiiaraeeei ya wazee watozo au nyingine na je somo litakuwa na uhalisia au litalenga TU kuhalalisha tozo,kwani hata kura zitaweza kutumika ambazo mara zote zinafanyiwa uchafuzi 🏃🏃
 
Watanzania wanajua umuhimu wa kodi.Tatizo linakuja pale kodi zetu zinatumiwa ndivyo sivyo.mfano viongozi kutumia v8za milioni zaidi ya 400 wakati huohuo kijiji hakina hata kituo cha afya sasa hapo nitakuwa na moyo wa kulipa kodi?Au kigogo mmoja kujigawia bilioni za kodi tulizokusanya kwa matumizi yake binafsi
 
View attachment 2367893
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo tarehe 25/09/2022 mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Uboreshaji wa Mitaala inayoongozwa na Profesa Makenya Maboko jijini Dodoma, imependekeza kuingizwa kwa elimu ya kodi katika mitaala ya elimu nchini Tanzania kuanzia kwenye Shule za Msingi hadi Sekondari.

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi TRA Richard Kayombo amesema Mamlaka hiyo inaamini kwamba kama kungekua na somo la kodi linalosomwa na Wanafunzi wote katika shule za Msingi na Sekondari basi Taifa lingeweza kuwa na Raia wengi wanaoelewa kuhusu kodi.

Amesema TRA inakusanya kodi kutoka kwa Walipa kodi wengi ambao hawana ufahamu au hawajui umuhimu wa kulipa kodi hivyo kama Wanafunzi watafundishwa somo la kodi Shuleni itasaidia kupata Raia wenye uelewa mpana kuhusu kodi na kujenga utamaduni wa kulipa kodi kwa hiari.

Baada ya TRA kuwasilisha maoni hayo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Maboko amewashukuru kwa mapendekezo waliyoyatoa na kuahidi kuyafanyia kazi katika maboresho ya Mtaala wa Elimu yanayoendelea kufanywa nchini Tanzania.
Kodi hukatwa kwenye faida, faida ni jambo la Kihasibu huwezi kulifanya chini ya ECA Form 6. Kama ni umuhimu wa kulipa kodi, hilo liwe ni somo la uzalendo, limo kwenye Siasa, Uraia, Civics, Maarifa. Hii tabia ya kudogosha ndiyo inazaa dhana za tozo kwenye bank transfers (switching YOUR money from the left hand pocket to the right hand), au ya mpangaji alipe kodi ya mwenye nyumba, au kulazimisha kutumia EFD inayofutika ambayo haimsaidii mlipakodi, au kumkamata mnunuzi kwa kutokuwa na risiti.
 
Back
Top Bottom