TRA yatoa taarifa ya kuvuka lengo mwezi Desemba 2024

TRA yatoa taarifa ya kuvuka lengo mwezi Desemba 2024

Joined
May 6, 2024
Posts
77
Reaction score
103
Mwenda makusanyo.jpg


Dar es Salaam, 01 Januari, 2025:


Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 (Oktoba – Desemba 2024) imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trilioni 8.741, sawa na ufanisi wa asilimia 104.63 ya lengo la kukusanya Shilingi Trilioni 8.354, na ukuaji wa asilimia 19.05 ukilinganisha na kiasi cha Shilingi Trilioni 7.342 zilizokusanywa katika kipindi kama hicho mwaka wa fedha 2023/24

Dar Es Salaam: TRA yavunja rekodi ya makusanyo mwezi Desemba, 2024
 
Back
Top Bottom