TRA yavunja rekodi ya makusanyo kwa miezi 9 mfululizo yakusanya trilioni 24.05

Kwahiyo ndani ya miaka 3 na kidogo Tunaweza angalau punguza lile deni na kulinda lisizidi maradufu??
 
Je walizopiga ni kiasi gani na zinatumikaje? Tuamini takwimu au uhalisia? Nauliza tu.
Hakuna hela ya serikali inayopigwa ndugu bali hela zote zinarudi kufanya ujenzi wa miundombinu, elimu bure kwa watoto wetu, mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu n.k. asante
 
Hakuna hela ya serikali inayopigwa ndugu bali hela zote zinarudi kufanya ujenzi wa miundombinu, elimu bure kwa watoto wetu, mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu n.k. asante
Mbona hujajibu inayofujwa kwenye upuuzi au hujasoma ripoti ya CAG. Sijui wewe naye tumwamini nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…