J John Mwaisengela Senior Member Joined May 6, 2024 Posts 115 Reaction score 157 May 28, 2025 #1 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita wale wote ambao wamefaulu usahili wa mahojiano. Wakati huo huo TRA imemshukuru Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuruhusu kuongezwa nafasi zingine 300 katika ajira hii.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita wale wote ambao wamefaulu usahili wa mahojiano. Wakati huo huo TRA imemshukuru Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuruhusu kuongezwa nafasi zingine 300 katika ajira hii.
ilore JF-Expert Member Joined Aug 5, 2022 Posts 1,103 Reaction score 1,400 May 28, 2025 #2 Hizo 300 walizificha
888I JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 472 Reaction score 581 May 28, 2025 #3 Kwanini sasa kumshukuru Rais ? 🤦🤦
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,956 Reaction score 47,046 May 28, 2025 #4 Mauarobaini wa hili janga ni viwanda tu..