ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #121
Hata wakati wa Kidata taarifa zilikuwa hizi hizi na ulisema wanapika dataHabari za ndani ndani kabisa wanapika data, na kidata aliondolewa kisa kuzuia wapigaji, sasa sijui tuamini kipi ni kipi
Mimi ni mathematician, nafanya kurekebisha sana kwenye makossa ya kihesabu.Sawa ishu iko kwenye hizo tril 29 za magu ni mradi gani
Alikakamilisha wa kimkakati, mind you kipindi chake kutokana na kuwa mahusiano mabaya alishindwa kopesheka lait angekuwa ana uwezo wa kukopa a angeweza kopa Zaid ya Samia.
Ni kweli samia kakopa lakini miradi ni mingi inayoendelea na mingi ni Ile iliyoanzishwa na mwendazake bila kuwa na mpango wa fedha
Mjumbr hauawi jamani, mi nilisikia sehemu za ndani kabisa. Kama ni za kweli watoe data za kila mwezi, yaani ukiisha mwezi watoe data. Ila unakuta wanatoa za rangeHata wakati wa Kidata taarifa zilikuwa hizi hizi na ulisema wanapika data
zipo ila hujataka kuzipataWatuwekee na taarifa za makusanyo ya kimkoa
Ndio wanatupa Sasa,wakikata mirija t hata Panadol t hatuna hospital na ukimwi wa mwaka elf mbili unarudi Tena.Wahisani gani ambao watakupa hela yote hiyo?
Sio kweli ,hakuna unachojuaNdio wanatupa Sasa,wakikata mirija t hata Panadol t hatuna hospital na ukimwi wa mwaka elf mbili unarudi Tena.
Inflation inachangia kuongezeka mapato. Hata muuza chips aliyekua anauza chips sahani sh.1000 kwa sasa anauza sh.2000 lazima mapato yake yawe makubwaHata kama ni inflation sio kwa kiwango hicho ingawa bado naona kama makusanyo bado ni kidogo sana ukilinganisha na economic activity zilizopo. Mfano mdogo tu Kuna watu wanamitaji ya mpaka mil 400 ila wanafanya umachinga. Fikiria population ya watu waliopo barabarani mbagala.
Ishu sio siasa, kwahiyo unataka mkopo unaweza pewa hata kama uwezo wako wa kulipa unaonekana ni mdogo?Mimi ni mathematician, nafanya kurekebisha sana kwenye makossa ya kihesabu.
Kubishana mradi wa kimkakati uliokamilika asilimia na mengine hayo wanaingia wanasiasa ambao kila mmoja huvutia upande wake, anaingia yeye anakuta pia ipo ambao olikua haijakamilika wakati wa JK, na Samia anaingia nae anakuta ipo ambao haijakamilika wakati wa magu, atakuja mwingine atakuta ipo ambayo haijakamilika kwa Samia. Hapo ndio wanasiasa hucheza rhumba
Hakua anakopesheka? Huwajui vizuri pengine wale wazungu. Tena mtu kama magu ndio wanampa mikopo mingi ili imnyonge vizuri. Mzungu hata uwe gaidi anakupa vizuri tu mikopo ili akutandikie hapo. Kitu anaweza kukunyima ni grants, lakini sio loans
Mkuu umekaa ofisini kama hujui kinachoendelea mtaani bora upmbe ujulishwe. Ukienda kariakoo Kuna watu wanaagiza mpaka content hata 6 za mizigo na zikifika wanafungia ndani kazi inabaki kuwagaia watu mtaani( yaan anaajiri watu wa kusambaza au wa kuweka vibandani huyo nae ni Machinga tu) na hata ufanyeje kama haujulikani huwez uziwa.Inflation inachangia kuongezeka mapato. Hata muuza chips aliyekua anauza chips sahani sh.1000 kwa sasa anauza sh.2000 lazima mapato yake yawe makubwa
Makusanyo si kidogo kulingana na uchumi wa nchi yetu. Unapaswa kujua Tanzania ni nchi maskini - japo tuliwahi kuambiwa sisi ni matajiri(ulikua uongo)
Mtu mwenye mtaji mil 400 hawezi kuwa machinga. Hii unanipanga kamanda. Binadamu hasa watanzania tunapenda sana pride and status, ndio maana sasa hivi nchi imejaa mafremu kila kona, hakuna mtu atakua na mil 400 akafanye umachinga
Una ropoka tuu,Tanzania Kuna inflation gani?Inflation inachangia kuongezeka mapato. Hata muuza chips aliyekua anauza chips sahani sh.1000 kwa sasa anauza sh.2000 lazima mapato yake yawe makubwa
Makusanyo si kidogo kulingana na uchumi wa nchi yetu. Unapaswa kujua Tanzania ni nchi maskini - japo tuliwahi kuambiwa sisi ni matajiri(ulikua uongo)
Mtu mwenye mtaji mil 400 hawezi kuwa machinga. Hii unanipanga kamanda. Binadamu hasa watanzania tunapenda sana pride and status, ndio maana sasa hivi nchi imejaa mafremu kila kona, hakuna mtu atakua na mil 400 akafanye umachinga
Unapewa vizuri tu, labda uwe hauna rasilimali. Hapo ndio sehemu wanafanya ukoloni. Kama wanaweza kuwa na mpango wa kukufutia madeni washindwe kukukopesha? Wao wanajua watafaidika vipi na walichokupaIshu sio siasa, kwahiyo unataka mkopo unaweza pewa hata kama uwezo wako wa kulipa unaonekana ni mdogo?
Then unaweza tusaidia kwanin kuanzia 2015 economic activity zilicollapse na kukawa stagnation ya projects ila deni likaongezeka interms of dollar tukiachanq na shillingUnapewa vizuri tu, labda uwe hauna rasilimali. Hapo ndio sehemu wanafanya ukoloni. Kama wanaweza kuwa na mpango wa kukufutia madeni washindwe kukukopesha? Wao wanajua watafaidika vipi na walichokupa
Hata hivyo Tanzania bado sana kufikia hatua ya kuingia kwenye hizo red flags.
Somalia ni failed state lakini wanapewa mkopo. Wenzetu wana akili
Hapo unasema wamevuka malengo kwa 3%.Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imeandikisha rekodi Mpya ya Mapato ya nusu mwaka Kwa kukusanya zaidi ya Trilioni 16.5 kwa.kioindi Cha miezi 6 au nusu mwaka ya mwaka wa Fedha 2024/2025.
Kiwango hicho ni Cha Juu zaidi kuwahi kufikiwa na TRA huku ikiwa ni ufanisi wa asilimia 103% yaani imevuka malengo.
Aidha mwezi Disemba pekee imekusanya takribani Shilingi Trilioni 3.5 ikiwa ni Juu ya lengo la Trilioni 3.
View: https://www.instagram.com/p/DESCEmIoQWy/?igsh=MTR3Z3ptYmowNmd3bQ==
View: https://www.instagram.com/p/DESwGv9IPEx/?igsh=b2kzZ2twN3o0czQ1
My Take
Hongera sana Kwa TRA na walipakodi wote nimiwemo mimi.
Hongera sana Rais Samia, hongera Kwa Waziri Mwigulu Kwa kukusanya Kodi bila dhuluma na kuvuka malengo , haijawahi tokea tangu TRA kuanzishwa.
Tunatoka wito wa matumizi sahihi ya Kodi zetu na pia juhudi zaidi za kukusanya Mapato,Bado ukwepaji Kodi ni mkubwa na watu hawatoi Wala kudai risiti inavyostahili.
View: https://www.instagram.com/reel/DESXvVVo1Z7/?igsh=MTB0OG5raXl2YjBqcw==
Najua kinachoendelea mtaani. Huyo aliyeagiza contena 6 tayari tu hapo tra walishachukua chao hadi yeye kupata hizo kontenaMkuu umekaa ofisini kama hujui kinachoendelea mtaani bora upmbe ujulishwe. Ukienda kariakoo Kuna watu wanaagiza mpaka content hata 6 za mizigo na zikifika wanafungia ndani kazi inabaki kuwagaia watu mtaani( yaan anaajiri watu wa kusambaza au wa kuweka vibandani huyo nae ni Machinga tu) na hata ufanyeje kama haujulikani huwez uziwa.
Ushawahi jiuliza inakuwaje tshet Dukan ikawa 20,000 ila kwa machinga ukaipata kwa 8000
Then kama ndo majibu yako hayo basi naomba ujue baada ya kutoa bandarini ya kulipa kodi zote muuzaji anawajibika kuendelea kuwa wakala wa kukusanya vat kwa rate 18 % na bado baada ya kuuza na kutoa gharama zake kwenye faida yake anatakiwa kuwasilisha corporate tax ya 30% sasa tuambie huyo mwenye makontena hiyo corporate tax na vat tunaipataje?Najua kinachoendelea mtaani. Huyo aliyeagiza contena 6 tayari tu hapo tra walishachukua chao hadi yeye kupata hizo kontena
Huyo wa kontena 6 anawagaia machinga wamuuzie? Huyo sio machinga, machinga ni hao wanaouza, ambao hata huyo mtu asingewapa bado wangechukua sehemu zingine na kuendelea kuuza. Japo huu mfano wakl sitaki kuusadiki
Dukani t-shirt 20k Ila kwa machinga 8k? Huu mfano umekaa tenge. Maana una majibu yote, ukienda mlimani city kununua beer ya castle lite pale samaki samaki, Bei yake ni sawa na castle lite iliyonunua kwa mangi pale manzese? Au bei ya beer pale kidimbwi ni sawa na bei ya beer hapo tabata?
Sawa mkuu,naomba elimu Kwa unayoyajua..kila siku ni siku ya kujifunza kwetu waungwanaSio kweli ,hakuna unachojua
Makato ya Marengo sio mapato ya tra ni mapato ya manispaa na halmashauri hayamo kwenye hesabu hiziLichawa la mama!
Hayo mapato ni pamoja na yake matozo yanayotokana na kununua luku mkisema ni kodi ya jengo?
Hii dialugue ni nzuri lakini una hisia sana. Kwanza napenda kukuambia haya "Usichukie kitu sana, wala usipende kitu kupitiliza" .Then unaweza tusaidia kwanin kuanzia 2015 economic activity zilicollapse na kukawa stagnation ya projects ila deni likaongezeka interms of dollar tukiachanq na shilling
OK kwako indicators of economic activity unajua ni zipi?Hii dialugue ni nzuri lakini una hisia sana. Kwanza napenda kukuambia haya "Usichukie kitu sana, wala usipende kitu kupitiliza" .
Turudi kwenye dialogue yetu, kwa nini 2015 economic activity zilicolapse? Naomba kujua kwa nini unasema zilicollapse kukawa na stagnation ya projects gani - tuanzie hapo
Deni liloongezeka interma of dollars tukiachana na shillings? Deni huwa kwenye dollar na linaongezeka kwa miaka yote, kuliweka kwenye shillings ni conversions zetu tu sababu sisi tunatumia shillings. Au ulikua unamaanisha nini? M