Tra

Mtized one

Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
46
Reaction score
7
TRA waliitalini watu 4 interview.....na gazeti gani walitoa names za waliokua short listed?
Tafadhali mnijuze...
 
kwani vipi mukulu wamekuzunguka nini maana unaonekana kama ulipewa ahadi ya kuitwa
 
hivi wewe bado unaamin tra kuna interview?utangoja milele na utakufa bila kelele.pale ni wewe mtoto wa nani,huyu turikuwa nae primary na ongeza dau kidogo.mia
 
interview done ndugu...me mwenyewe nilisikia kwa mtu kuwa imefanyika na watu wameshaanza mzigo
 
Bado sijapata jibu,
1)when was interview?
2)Short listed walitoka kwenye gazeti gani?
3) Wameanza lini kazi,

Sio kwamba niliaply au kuhitaji kaz bt kuna utafiti naufanya juu ya hizi gvt agencies na wizara juu ya ajira zao tusaidiane kuondoa urasimu...nipeni info wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…