S Stephano Shahidi Member Joined May 28, 2023 Posts 61 Reaction score 79 Jan 3, 2024 #1 Wadau Kuna issue ya kazi naifukuzia mwisho kesho Mtandao wa TRA mbona unazingua? Natakiwa nipate TIN namba daaaa!!!
Wadau Kuna issue ya kazi naifukuzia mwisho kesho Mtandao wa TRA mbona unazingua? Natakiwa nipate TIN namba daaaa!!!
K Kampunyenye Member Joined Nov 14, 2023 Posts 37 Reaction score 106 Jan 3, 2024 #2 leta details nikusaidie
Scaramanga JF-Expert Member Joined Aug 19, 2020 Posts 490 Reaction score 704 Jan 8, 2024 #3 Stephano Shahidi said: Wadau Kuna issue ya kazi naifukuzia mwisho kesho Mtandao wa TRA mbona unazingua? Natakiwa nipate TIN namba daaaa!!! Click to expand... Shahidi hawa jamaa wana simu yao ya chart 0744 233 333 wacheki whatsapp hiyo wakutatulie
Stephano Shahidi said: Wadau Kuna issue ya kazi naifukuzia mwisho kesho Mtandao wa TRA mbona unazingua? Natakiwa nipate TIN namba daaaa!!! Click to expand... Shahidi hawa jamaa wana simu yao ya chart 0744 233 333 wacheki whatsapp hiyo wakutatulie
Natafuta pesa JF-Expert Member Joined Mar 29, 2022 Posts 279 Reaction score 384 Jan 8, 2024 #4 Kazi gani hiyo mkuu na mimi niombe?