Trabalism reaches at the statehouse in Kenya

Kenya ukabila haujawahi kuwaacha salama, Tangu Uhuru umekua ukiwatesa mpaka sasa miongo kadhaa baada ya Uhuru tatizo ni lile lile, Mwanafasihi Ngugi Wa Thiong'o ameelezea sana juu ya ukabila katika baadhi ya kazi zake kama This Time Tomorrow, The Black Hermit. Mwanazuoni mmoja alisema, "Tribalism is the comannder in chief of all African problems". Ukabila si Kenya tu ila hata hapa nchini umeanza kututafuna kidogo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…