Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Nicheki tutajua zinakufikiajeme niko visezi nazipatajee?
Yah! Nicheki mkuu namba hiyo japo juuZinabana chini??
Rudia kupiga picha na uzipandishe upya
Hiyo mkuu agiza ulanzi hapo kwa mama chibumbaUnyama mwingi
Nipo mlele napataje moja
Nipo na 10k
Daaah huyu maza yupo wapi aiseHiyo mkuu agiza ulanzi hapo kwa mama chibumba
Mbona nilimuelekeza Nikifa MkeWangu Asiolewe na MENEMENE TEKERI NA PERESIDaaah huyu maza yupo wapi aise
Yaan unajua wanapouza ulanzi bei rahis hivo halafu upo kimya muda wote unajificha
Unakunywa mwenyewe kama komba tuu hutaki tufaidi wengine
Kuna watu mna roho mbaya sana
Mbona nilimuelekeza Nikifa MkeWangu Asiolewe na MENEMENE TEKERI NA PERESI
Kiuno ngapi hizo ziko kibao mzee ni ungiri tuNitafutie nyingine mkuu ila iwe ya rangi nyekundu na chini iwe bugaloo.Nataka nikiivaa na kupita mtaani wawe wanasema..."kibendera yuleee anapita"...! Unyama sana kuliko ngiri.😁
Ziko vema sanaWazee kwema?
Nina tracks mbili hapa kiuno 36 unyama yani. Light grey(bottega) moja na nyuesi moja (versace). Ziko mbagala hapa.
Quality njema na yenye kupendeza, nguo mpya kabisaView attachment 3143502
View attachment 3143499View attachment 3143500
Bei yake ni 20,View attachment 3143506000 Deliver 3000 ndani ya dar!
0628731833
Iwe "salasini na tìsa" hadi arobaini na moya!Kiuno ngapi hizo ziko kibao mzee ni ungiri tu