Tractor ford 6000 four wheel drive inahitajika

Tractor ford 6000 four wheel drive inahitajika

kangesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2023
Posts
551
Reaction score
1,063
Marry Christmas to you all!!!

Ni ndugu yangu anahitaji ford tractor kuanzia namba 6000 na kuendelea iwe na four wheel drive.

mahali alipo ni mafinga,iringa lakini popote litakapopatikana atakuja.

Mawasiliano:0786595669/0759096558
 
Ni Mpya? Naziona sana zunauzwa kinyanambo garden park pale, pia kisolanza kwa John Deere,
Hizo zote ni mafinga
 
Anatka ford tu kwasababu ya urahisi wa spare zake.

Ni anataka used
 
Back
Top Bottom