blacksamurai
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 392
- 663
Trekta lipo Morogoro mjini(nanenane), lipo katika hali nzuri sana. Unaruhusiwa kuja kulikagua. Ni 4wd na ni 75hp. Unauziwa pamoja na jembe lake.
Bei ni 36m. Mazungumzo yanaruhusiwa. Namba za mawasiliano ni 620 559595View attachment 1938539View attachment 1938541View attachment 1938540
Vipi Marsey Furgason?sisi tuendelee kupambana na New holland hzo John Deer bado hatujafikia huko