Kitomai JF-Expert Member Joined May 21, 2009 Posts 1,074 Reaction score 308 Oct 26, 2009 #1 Lina trailer na hallows. Hp 90 limetumika Tz vizuri. Bei 17mil. kwa mawasiliano zaidi piga simu 0717114409 au 0784225000
Lina trailer na hallows. Hp 90 limetumika Tz vizuri. Bei 17mil. kwa mawasiliano zaidi piga simu 0717114409 au 0784225000
Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,052 Oct 26, 2009 #2 Kitomai said: Lina trailer na hallows. Hp 90 limetumika Tz vizuri. Bei 17mil. kwa mawasiliano zaidi piga simu 0717114409 au 0784225000 Click to expand... kitomai, ninaanza kupata wasiwasi na biashara zako.yafuatayo nimeanza kuyafikiri juu yako: -huenda wewe ni dalali ambaye hujazoea kazi,na unajiwekea cha juu kwa percenr 200 -huenda wewe unataka kuifilisi kampuni yako KWA FAIDA
Kitomai said: Lina trailer na hallows. Hp 90 limetumika Tz vizuri. Bei 17mil. kwa mawasiliano zaidi piga simu 0717114409 au 0784225000 Click to expand... kitomai, ninaanza kupata wasiwasi na biashara zako.yafuatayo nimeanza kuyafikiri juu yako: -huenda wewe ni dalali ambaye hujazoea kazi,na unajiwekea cha juu kwa percenr 200 -huenda wewe unataka kuifilisi kampuni yako KWA FAIDA
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,997 Reaction score 1,172 Oct 26, 2009 #3 Geoff said: kitomai, ninaanza kupata wasiwasi na biashara zako.yafuatayo nimeanza kuyafikiri juu yako: -huenda wewe ni dalali ambaye hujazoea kazi,na unajiwekea cha juu kwa percenr 200 -huenda wewe unataka kuifilisi kampuni yako KWA FAIDA Click to expand... Kwa nini unamfikiria wmenzako vibaya? ksani hata kama akiwa dalali kuna ubaya? lol
Geoff said: kitomai, ninaanza kupata wasiwasi na biashara zako.yafuatayo nimeanza kuyafikiri juu yako: -huenda wewe ni dalali ambaye hujazoea kazi,na unajiwekea cha juu kwa percenr 200 -huenda wewe unataka kuifilisi kampuni yako KWA FAIDA Click to expand... Kwa nini unamfikiria wmenzako vibaya? ksani hata kama akiwa dalali kuna ubaya? lol
Kitomai JF-Expert Member Joined May 21, 2009 Posts 1,074 Reaction score 308 Oct 27, 2009 Thread starter #4 Hiyo inaitwa ''freedom of opinion''. maoni yako yanakaribiswa sana. endelea.