trading rooms

trading rooms

Xo wewe ni agent ama nani?na nyie ni mabroker ama mnauza system kama ya tutle?na kama ni ma broker mpo nchi gani na mmesajiliwa na mko chini ya uangalizi wa nani? Mna member wa ngapi?je mna insurance?maana kwa sa hv mi natrade na watu wa south africa nimetoa pesa zangu huko ulaya sababu ya economic recession inayokuja baada ya kuona kampuni kubwa ya ubrokerage ya futures kufilisika na wateja hawakulipwa pesa zao za position sanasana waliambulia 'SORRY WE DO NOT HAVE UR POSITIONS'.Hii mambo unatakiwa kuwa makini.
 
Back
Top Bottom