Traditional Chinese Medicine Dar (hospitali inayotoa huduma ya dawa asili za kichina?

Nairart

Member
Joined
May 13, 2019
Posts
22
Reaction score
36
Habari wakuu. Kuna yeyote anajua wapi naweza kupata huduma ya clinic ya wachina Dar es salaam. Anaefahamu please naomba aniambie mahali ilipo. Asanteni
 
Kuna upanga,tandika na sinza
 
Dawa zao Mara nyingi zina tibu magonjwa gan??? na je kuna ambao wametumia zikawasadia????
 
Back
Top Bottom