Kuna upanga,tandika na sinzaHabari wakuu. Kuna yeyote anajua wapi naweza kupata huduma ya clinic ya wachina Dar es salaam. Anaefahamu please naomba aniambie mahali ilipo. Asanteni
Kumbe Tandika hipoKuna upanga,tandika na sinza
Ipo kubwa tu iko eneo la Tandika mashine ya majiKumbe Tandika hipo
Nilikuwa sijui nitaenda kuangalia huduma zaoIpo kubwa tu iko eneo la Tandika mashine ya maji
Kumekucha pale pale kituoni mkuu ? Duka lao linaitwaje ? natafuta Dawa zao za minyoo ni nzuri sanaNjoo sinza kumekucha