fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Viongozi wa watanzania wakituangalia wananchi wao wanatuona wote ni wanzabe tu hatujielewi kwa chochote.Eti vifaa vyake vinaagizwa nje,Watu wanaagiza gari nje wiki tatu imeshafika yeye anazungumzia miezi saba na bado vifaa havijafika,ujinga mtupu
Wajinga sana,na muda wao umeshafika maana ogopa watu wanakuona muongo halafu wanakuangalia tuViongozi wa watanzania wakituangalia wananchi wao wanatuona wote ni wanzabe tu hatujielewi kwa chochote.
hii mimi imenisikitisha sanaEti vifaa vyake vinaagizwa nje,Watu wanaagiza gari nje wiki tatu imeshafika yeye anazungumzia miezi saba na bado vifaa havijafika,ujinga mtupu