KERO Traffic Lights za Kilwa road ni kero

KERO Traffic Lights za Kilwa road ni kero

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
6,748
Reaction score
4,252
Ukipata barabara ya Kilwa kuanzia Central police hadi mbagala zimewekwa taa Hivi karibuni, hizi taa zimeweka kila baada ya kila baada ya meta 50-100, zinasababisha foleni kubwa sana, mbaya zaidi nyingi hazipo kwny junction zaidi ya vivuko vya waenda kwa miguu. Wahusika hasa temesa waliangalie hilo tafadhali
 
Back
Top Bottom