Traffic mishara midogo haya mafuta ya kuchezea mnayapata bure??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ni ngumu kuamini traffic analipwa mshara mdogo natamani kuchunguza lakini naamini
jamani hawa watu wanapokea mshara wa kutosha kabisa aiwezekani kabisa kila traffic ana kuwa na gari na kupaki kila sehemu anavyotaka na huku analia njaa...
Haya hizi pesa za mafuta mnazipata wapi??
 
 
Last edited by a moderator:
Hivi TAKUKURU wanaweza fanya hivi kweli?KENYA IKO JUU...BIG UP...na ss wabongo inabidi tukubali tu jamaa wako juu...
 

Duuh, hii kali, yani wale wa EPA na waliohusika kwenye manunuzi ya RADA wangetolewa mkuku kama hivyo, ingekuwa poa sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…