abousalimu
Member
- Apr 3, 2012
- 51
- 15
Assalaam,
Naomba nianze kwa kuwapongeza askari wa usalama barabarani kwa utendaji mzuri sehemu mbalimbali Tanzania.
Nilichokiona Katesh siku ya trh 12/4/2020 sio cha kiungwana na kinaondoa uadilifu wa jeshi. Binafsi niliandikiwa faini kwa kosa la kuendesha gari kwa spidi ya 57/h.
Kadhalika magari niliyokuwa nimeongozana nayo na yalikua na spidi zaidi ya 58/h hayakutozwa faini. Nauliza kuna gari za private ambazo ziko exempted katika sheria hizi za usalama barabarani?