abousalimu
Member
- Apr 3, 2012
- 51
- 15
Kituo cha polisi katesh,usiwashangae kiongozi ni kawaida yao,trafic pale wametumwa pesa ili pia watunze familia zao.kwa kifupi katesh jeshi la polisi ni aibu tupu.labda IGP afanye safari ya kudhtukiza kwenda pale atagunfua tunayoyasema.nilipita pale kituo cha polisi katesh, IGP saimonsirro katika uongozi wake Hajawahi kufika kituo cha polisi katesh.na wanajua pale hatawahi kufika na sababu wanazo.Assalaam,
Naomba nianze kwa kuwapongeza askari wa usalama barabarani kwa utendaji mzuri sehemu mbalimbali Tanzania.
Nilichokiona Katesh siku ya trh 12/4/2020 sio cha kiungwana na kinaondoa uadilifu wa jeshi. Binafsi niliandikiwa faini kwa kosa la kuendesha gari kwa spidi ya 57/h. Kadhalika magari niliyokuwa nimeongozana nayo na yalikua na spidi zaidi ya 58/h hayakutozwa faini. Nauliza kuna gari za private ambazo ziko exempted katika sheria hizi za usalama barabarani?