Traffic na pikipiki barabarani.

Traffic na pikipiki barabarani.

SirLuke

Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
75
Reaction score
8
Habari wakuu,
Naomba kuuliza. Hivi inabidi ukamilishe vitu gani haswa kwenye pikipiki yako ili usisumbuliwe sana na traffic barabarani?

Ikiwa ni binafsi tu sio ya biashara.

Aksanteni.!
 
Kofia, mtungi wa faya,leseni, bima, tyre ziwe mpya, stika ya nenda kwa usalama, jacket la upepo, suruali ngumu, viatu va kuendeshea pkpk, gloves, pkpk iwe safi, indicators, wengine ongezeni
 
Labda dar mkuu mikoani zinakamatwa kuliko gari, kwanza gari chache pikipiki ndo nyingi
Duh sikujua hilo. Hapa Dar pikipiki ndo zinaongoza kwa kukiuka kanuni za usalama barabarani na matrafiki wanawaangalia tu. Wao wako bize na virikuu, malori, daladala na magari ya watu binafsi yatakayoingia kwenye anga zao za kuotea ...
 
Kofia, mtungi wa faya,leseni, bima, tyre ziwe mpya, stika ya nenda kwa usalama, jacket la upepo, suruali ngumu, viatu va kuendeshea pkpk, gloves, pkpk iwe safi, indicators, wengine ongezeni
Shukran sana
 
Back
Top Bottom