Baaaasi... matrafiki wa kibongo hawanaga time kabisa na pikipiki... why bother?Wakijusimamisha usisimame
Baaaasi... matrafiki wa kibongo hawanaga time kabisa na pikipiki... why bother?
Duh sikujua hilo. Hapa Dar pikipiki ndo zinaongoza kwa kukiuka kanuni za usalama barabarani na matrafiki wanawaangalia tu. Wao wako bize na virikuu, malori, daladala na magari ya watu binafsi yatakayoingia kwenye anga zao za kuotea ...Labda dar mkuu mikoani zinakamatwa kuliko gari, kwanza gari chache pikipiki ndo nyingi