vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,749
- 1,000
Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake apewe, huyu Baba anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu sana.
Nimekua napita hili eneo kila siku asubuhi na jioni kwenda kwenye mihangaiko yangu, ukiona siku ambayofFoleni haisogei katika mpangilio wa kueleweka jua siku hiyo sio yeye anaongoza magari hapo.
Nafikiri wahusika wanalitambua hilo ndio maana mara nyingi yeye ndiye hupangwa kwenye makutano hayo.
Kazi nzuri.