Mkuu kwanini unaipenda siku ya ijumaa sana hua najiuliza au ww ni jini???[emoji1][emoji1]Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake apewe, Huyu Baba anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya Juu Sana.
Nimekua napita hili eneo kila siku asubuhi na jioni kwenda kwenye mihangaiko yango, Ukiona siku ambayo Foleni haisogei katika mpangilio wa kueleweka Jua siku hiyo sio yeye anaongoza magari hapo.
nafikiri wahusika wanalitambua hilo ndio maana mara nyingi yeye ndiye hupangwa kwenye makutano hayo.
kazi nzuri.
Hahaaa Dogo Ashraf, yule ni rafiki wa kila dereva anayepita njia hiyo aisee hanaga mbishe za kuforce vyeti na hiyo ndiyo inafanya watu wengi wampe tu hela bila kuwaomba.kuna yule dogo mwingine mweupe huwa anasimama njia panda kawe au pale mataa tangi bovu jamaa anajua kazi yake na anaenjoy sana, kuna muda akiongoza magari hadi akakata viuno hata akikukamata unajua kweli nimefanya kosa na ni muelewa pia hana zile za kufosi kuandika cheti anakupa elimu tena kwa ucheshi sio anakunja sura kama maboya wengine
yes huyo huyo chalii, yuko poa sanaHahaaa Dogo Ashraf, yule ni rafiki wa kila dereva anayepita njia hiyo aisee hanaga mbishe za kuforce vyeti na hiyo ndiyo inafanya watu wengi wampe tu hela bila kuwaomba.
Halafu kuna boya humu aliwahi kuja muanzishia uzi kuwa eti yule dogo naye anapokeaga sana rushwa sema watu walimshukia mtoa mada kama mwewe, maana yule dogo watu wengi wanamjua vile yuko peace sema kuna watu wanataka kumchafua tu kwa vile wameona anapendwa na madereva wengi.
Niruhusu nikuanzishie vikao vya kamati ya maandalizi, ahadi yangu naanza na laki tano na katoni ya konyagi.Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake apewe, huyu Baba anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu sana.
Nimekua napita hili eneo kila siku asubuhi na jioni kwenda kwenye mihangaiko yangu, ukiona siku ambayofFoleni haisogei katika mpangilio wa kueleweka jua siku hiyo sio yeye anaongoza magari hapo.
Nafikiri wahusika wanalitambua hilo ndio maana mara nyingi yeye ndiye hupangwa kwenye makutano hayo.
Kazi nzuri.