Traffic Police, SUMATRA na Magari ya Sauli hapa Kibaha, kulikoni?

Traffic Police, SUMATRA na Magari ya Sauli hapa Kibaha, kulikoni?

Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
892
Reaction score
683
Wakuu,

Kuna shida gani na haya mabasi kila mara ni kupigwa mkono weka pembeni nusu saa au lisaa lizima.

Kama hamtaki wawe wanasafiri futeni vibali vya magari kama ndio hivyo, ni mambo yasio na maana.

Mnachelewesha abiria wasio kuwa na kosa lolote.

Asante
 
Dah nusu saa kubwa sana
Yaani kwa bus zinavyotoka akikuweka dk 8 tu mwenzio humpati tena
Hapo Sauli atzame competitor wake kuna jambo
Kilomanjaro, Newforce n.m
 
Kuna watu wana betting kwa sauli na mpizani wake,traffic itakua wanapewa chapaa mapema
 
Back
Top Bottom