Traffic police wa ukonga leo wamegoma?

Traffic police wa ukonga leo wamegoma?

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
3,545
Reaction score
6,512
Sijawahi kuona hii foleni ya kutoka vingunguti hadi Banana cha ajabu sijamuona hata trafic mmoja akiongoza magari hata kwenye mataa hakuna trafic yoyote.

Magari yamefungana wala hayendi kabisa,yaani hayaendi popote.

Nadhani leo tutakesha hapa barabarani.
 
Sijawahi kuona hii foleni ya kutoka vingunguti hadi Banana.cha ajabu sijamuona hata trafic mmoja akiongoza magari hata kwenye mataa hakuna trafic yoyote . Magari yamefungana wala hayendi kabisa,yaani hayaendi popote.Nadhani leo tutakesha hapa barabarani.
Wakati mwingine weka gari pembeni (angalia sehemu salama panaporuhusiwa kuegesha Magari) chukua bodaboda
 
Sijawahi kuona hii foleni ya kutoka vingunguti hadi Banana.cha ajabu sijamuona hata trafic mmoja akiongoza magari hata kwenye mataa hakuna trafic yoyote . Magari yamefungana wala hayendi kabisa,yaani hayaendi popote.Nadhani leo tutakesha hapa barabarani.
Wapo kwa Kingai wanakula mkong'oto
 
Back
Top Bottom