Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
Wana jamvi niko safarini kuelekea Mwanza lakini ninachokiona kwa matrafiki wetu kwanza ni usumbufu pili ni wizi au rushwa ya wazi. Tangu kutoka Arusha mpaka Babati tumeweza kusimamishwa zaidi ya mara 10. Majengo, Arusha AirPORT, KISONGO, DUKA BOVU, MTI MMOJA, MAKUYUNI, MINJINGU, MBUYU WA MJERUMANI, MAGUGU, KARIBU NA BABATI SIPAJUI NA AFTER BABATI NA SASA TENA DAREDA. Wanachofanya siku hizi ni wale agents ndiyo wanateremka na wala matrafic hawapandi kukagua gari. Gari imejaza watu wamekalia ndoo. Ni hatari kusema ukweli. Mungu nusuru waja wako.
Halafu shukia arusha tukunyoosheTupe na hali halisi ya barabara.
Mwema sijui anapitia humu? nimejaribu kumtumia post yako #1 kupitia: Feedback lakini inakataa.
Na wewe unaweza mtumia. Naomba hali ya barabara, nna safari ya kwenda Shinyanga, kupitia Arusha na Singida.
Tupe na hali halisi ya barabara.
Mwema sijui anapitia humu? nimejaribu kumtumia post yako #1 kupitia: Feedback lakini inakataa.
Na wewe unaweza mtumia. Naomba hali ya barabara, nna safari ya kwenda Shinyanga, kupitia Arusha na Singida.
sijui kwanini traffic akikusimamisha lazima akuulize unafanya kazi gani?
sijui kwanini traffic akikusimamisha lazima akuulize unafanya kazi gani?
Halafu shukia arusha tukunyooshe
Mmuulize Magufuli...
Unategemea kupata nini kutoka kwa traffiki wakati wlio wegi ni watoto wa wakubwa na wengine wamehengo ndio wakapata nafasi hizo.na wote wako kwa ajili yautafutaji tu.kikosi hiki bila kuwa mtoto wa mkubwa au bila kutoa ruswa hupati nafasi.upewe na fasi hivihivi wewe umekuwa nani?.wakati ni kwa ajili ya kuwatajilisha watoto wa wakubwa.
Eti traffic watoto wa wakubwa! mambo mengine yanachekesha. Pole sana kwa uelewa huo. Saidi Mwema mtoto wa mkubwa yupi?
ukitaka usisumbuliwe nunua mikate arusha wakikupiga mkono unawaachia mmoja kila kituo utafika saaalama kbsTupe na hali halisi ya barabara.
Mwema sijui anapitia humu? nimejaribu kumtumia post yako #1 kupitia: Feedback lakini inakataa.
Na wewe unaweza mtumia. Naomba hali ya barabara, nna safari ya kwenda Shinyanga, kupitia Arusha na Singida.
halafu hawa ukitaka kuwatili9a sumu utawaua sana, wanapendaga sana rushwa ya machungwa, nyanya, mikate, machenza, viazi etcukitaka usisumbuliwe nunua mikate arusha wakikupiga mkono unawaachia mmoja kila kituo utafika saaalama kbs
Mwema ni shemeji wa jk.nilicho kiandika kuhusu traffiki ni hakika na amina.vinginevyo unapinga labda na wewe ni mmoja wao.halafu saidi siyo traffic pole wewe ambae unapinga kitu wakati kipo.