Traffic wanasumbua, msaada wa kisheria

kateka

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2012
Posts
593
Reaction score
398
Ndugu yangu kapata ajali ya gari akiwa yeye peke yake pasi na kusababisha madhara kwa mtu yeyote, lakin traffic wamekuja na kutaka chochote wakidai hii n kesi.

Naomba msaada kwa anaejua kuhusu hii issue ukwel ukoje?

Natanguliza shukran.
 
Sina uhakika lakini kuna vifungu ambavyo anaweza kukubana navyo eg driving a defective vehicle. Akikuta umepata ajali ataku-pin kwa kukutafutia ubovu wa chombo. Lakini kuanguka na chombo is not an offence!
 
ahsante kaka kwa mchango wako mzur
 
Inawezekana alikuwa anaendesha akiwa amelewa,mwendo kasi sehemu isiyoruhusiwa,hana leseni au amepita njia isiyoruhusiwa ndiyo maana akapata ajali.
 
Ndugu yangu kapata ajali ya gari akiwa yeye peke yake pasi na kusababisha madhara kwa mtu yeyote, lakin traffic wamekuja na kutaka chochote wakidai hii n kesi.

Naomba msaada kwa anaejua kuhusu hii issue ukwel ukoje?

Natanguliza shukran.

yes, ni traffic offence kesi anakwenda mahakamani akaikutwa na kosa analipa fine kama amabavyo angelipa kwenye notification.

Infact, Traffic akikupa notification kisheria watakiwa ukaipinge kwa mahakama kabala hujalipa, ila kwa sababu ya muda na mlongo wengi wetu huishia kulipa tu
 
well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…