Traffic watoke barabarani wahamie kwenye barakoa

Traffic watoke barabarani wahamie kwenye barakoa

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kupanga ni kuchagua, kwasasa traffic polisi wabaki wachache barabarani wahamie kwenye kuzuia vifo vinavyotokana na COVID-19. Taifa lihamishie nguvu zake kwenye CORONA pia kwa kuwapeleka Polisi wengi sehemu zenye mikusanyiko mikubwa Kama stand, masokoni, bank, nk ili kuhimiza kunawa mikono, distancing na kuvaa barakoa kikamilifu kwenye mikusanyiko.

Kama sheria ya kuvaa barakoa haipo basi bunge liitunge fasta ili kutovaa barakoa liwe kosa sawa na makosa wengine ya kuhatarisha maisha.

Haingii akilini traffic kujazana barabarani kuzuia vifo vya ajali barabarani na kuacha kuzuia vifo vya Corona.
 
Juzi kuna trafiki alinipiga mkono...
nikawa napiga chafya tu kila wakati akaniambia nendaa...
 
Back
Top Bottom