Trafic Police wamtandika askari wa JWTZ hadharani

Trafic Police wamtandika askari wa JWTZ hadharani

nguvumali

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2009
Posts
4,924
Reaction score
1,334
MARA kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama barabarani mjini Moshi ambao majina yao hayakufahamika wakimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) katika kituo kikuu cha mabasi mjini hapa hivi karibuni,baada ya kutokea kutoelewana,mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace aliyeshikwa na trafiki hao.


SOURCE

MWEMA: MWANAJESHI WA JWTZ ACHEZEA KICHAPO KUTOKA KWA ASKARI WA USALAMA BARABARANI MJINI MOSHI

 
trafiki+2.jpg
 
Tunasubiria revenge ya hii movie. Yaani naona vile kichapo kitakavyotembea. Let me find my ild camera!
 
siku hizi nahisi police wanaanza kuwa Ngangari , huwenda kukawa na Timbwili la kufa mnoo !
 
Huyo komando kalala wamemchokoza wenyewe. Ngoja wajipange hiyo revenge yake sijui tu labda busara itumike na jeshini busara ni adimu kama bikira kwa changudoa.
 
Mmmh hii picha bado naona kama ina mkono wa technologia.Itizameni kwa makini.
 
Polis huwa wanawaheshimu sana Wanajeshi, Lakini Wanajeshi huzid kuwadharau sana Polis, utafikiri Polis wao sio Jeshi. Hapo chanzo za Vurugu atakuwa tu ni huyo Mwanajeshi, ataingiliaje kazi ya Polis??? na hapo atakuwa alileta utemi ndio washikaji wakaamua kumtolea uvivu.
 
Kazi kweli kweli !!... JWTZ lazima warudi kulipa kisasi..... Nafikiri suala hili linapaswa kuangaliwa na pande zote zinazohusika kabla ya madhara hayajatokea.
 
naomba Mungu Wanajeshi wasilipize italeta taharuki sana
 
Polis huwa wanawaheshimu sana Wanajeshi, Lakini Wanajeshi huzid kuwadharau sana Polis, utafikiri Polis wao sio Jeshi. Hapo chanzo za Vurugu atakuwa tu ni huyo Mwanajeshi, ataingiliaje kazi ya Polis??? na hapo atakuwa alileta utemi ndio washikaji wakaamua kumtolea uvivu.

Wanajionaga wao ndiyo wenye nchi wakisahau kuwa kila mtu ana kazi yake ni mgawanyo wa kazi tu. Kuwa mwanajeshi sio kwamba unateuliwa ni unaomba kazi sasa kodi zetu zinazowalisha bure makambini kwao umeme bure, maji bure, kusafiri bure ndiyo wanaanza kujiona kana kwamba wao ndiyo wenye nchi. Huwa wananishangaza sana!!! Tena wamdunde wakamuweke ndani maana ni mpuuzi, who is he by the way kuingilia kazi za watu? Halafu hata cheo kimoja hana then anajifanya mtemi. Laiti angejua polisi wanavyowastahi. Kupewa heshima ya bure then wao ndio wanaona kama ni stahiki yao!
 
Naomba mungu walipize tujue nani zaidi

hahahahaaaaah Lol.italeta hamaniko la kutisha....niliwahi kushuhudia sekeseke baina ya askari magereza na Polisi mkoani morogoro, usiombe
 
Tunasubiria revenge ya hii movie. Yaani naona vile kichapo kitakavyotembea. Let me find my ild camera!

AaaaaaBasi kweli Tanzania bado niinchi ya Amanina upondo ni History kwa POLICE kumpiga MWANA JESHI DUNIANI haijatokea ladba sio MJESHI HUYO..au bado Curuta..hana Issue huyo lakini kama ni Mjeshi wa kweli na yupo na CHEO KUANZIA SAGENT..nk.haishii hapo 2tasikia
 
Wee.. police kampiga mjeda? Tunasubiria remix yake
 
duuu Trafic wajanja sana hao na hizo helmet walizovaa sijui utapiga wapi ngumi
 
Back
Top Bottom