Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 276
- 473
Trafiki ametushusha Abiria wote kwenye daladala, hajatupa usafiri mwingine kisa gari inadaiwa na Konda kamwambia “Hii trip ya kwanza, nitakuungia baadaye”
Huyu Askari namba zake za kifuani ni 3250, namba zake za mwanzoni sijaziona vizuri.
Katushusha abiria kutoka kwenye Daladala pasipo kufuata utaratibu na kutuacha njiani bila kututafutia usafiri mwingine, hii imetokea Kituo cha Mombasa, Dar es Salaam, Asubuhi hii Saa 01.24.
Anadai kwamba yeye yupo kwenye kazi yake na hakuna taratibu aliyovunja, sababu ya kutushusha abiria ni kwamba gari inadaiwa Sh. 37,000.
Hii imetokea kisa konda amemwambia nitakuungia baadae ndiyo kwanza trip ya kwanza hii.