ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Kwa wakazi Kigamboni kuna jambo kidogo linanipa shida barabara za Kigamboni mbona zina askari wa barabarani wengi toka feri mpaka kufika Kongowe unakutwa ushasimamishwa mara 4 daaah hii ni zaidi hata ya mikoani najiuliza huku kuna wavunja sheria wengi au.