Kucheleweshana tu barabarani.Trafiki kama trafiki wanajali usalama wako wewe mtumiaji wa barabara, wape ushirikiano
Magenge ya wahalifu yanazuiwa na traffic police?Huko kuna magenge mengi ya wahalifu
Yanapunguzwa kasi. Kama walipanga kufanya tukio saa 6 kamili mchana, wakicheleshwa njiani kwa nusu saa basi mipango yao imevurugikaMagenge ya wahalifu yanazuiwa na traffic police?
Kazi ipo.Yanapunguzwa kasi. Kama walipanga kufanya tukio saa 6 kamili mchana, wakicheleshwa njiani kwa nusu saa basi mipango yao imevurugika