KERO Trafiki kuwa chanzo cha foleni makutano ya Mwenge na Morocco

KERO Trafiki kuwa chanzo cha foleni makutano ya Mwenge na Morocco

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

greater than

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
1,653
Reaction score
3,060
Katika Makutano ya Morocco ambapo Barabara za Ally H.Mwinyi,Mwai Kibaki na Bagamoyo zinapo kutana na Makutano ya Mwenge.

Inapofika mida ya jioni kuanzia saa 10, Trafiki huwa wana tabia za kuruhusu gari za upande mmoja tu (kutoka posts kwenda mwenge) kwa muda hata wa dakika 40.

Sasa hii ni kero kweli kweli, ina Uongozi wa Manispaa haulijui hili suala.
 
Back
Top Bottom