Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahamie TRA tuHao viumbe faida yao barabarani ni ndogo sana ukilinganisha na usumbufu wao kwa madereva magari. Binafsi huwa sipendi kabisa kuwaona barabarani nikiwa naendesha chombo cha moto, hususani gari.
Kweli kabisa, ila trafiki wao wana faida napo barabarani, ndani ya dk mbili za hii clip jamaa wameingiza zaidi 40k, kutoka kwa makonda wa daladala tu, na bado kuna wengine wamewekwa pending wakitikiswa watoe pesa zaidi na bado wanaweza kutuotea mimi na wewe ambaoubsio wadau wao! Wenzetu daladala wana flat rate ya sh3000 nadhan afanye kosa au asifanye.Hao viumbe faida yao barabarani ni ndogo sana ukilinganisha na usumbufu wao kwa madereva magari.
Binafsi huwa sipendi kabisa kuwaona barabarani kutokana na kuendekeza kwao njaa, na pia kupenda kwao kuwalipisha watu faini za kipuuzi ili tu kutafuta makusanyo ya kuendeshea serikali iliyoshindwa kutafuta vyanzo sahihi vya mapato.
Kwahiyo tuwape mchwa mbao watazilinda vizuri eti 🤣🤣🤣Kulingana na uzoefu wao wa kukusanya mapato na rushwa hawa jamaa wahamishiwe TRA ili kuongeza ufanisi
PoleWaonevu sana
Trafiki ni weziKulingana na uzoefu wao wa kukusanya mapato na rushwa hawa jamaa wahamishiwe TRA ili kuongeza ufanisi
Mtawalaumu bure hao wanatumwa na wakubwa zaoTRA+TRAFIC=?
RUSHWA+RUSHWA=?