Trailer Towing Tanzania (Light Vehicles)

Trailer Towing Tanzania (Light Vehicles)

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
1,433
Reaction score
1,176
Habari wakuu,

Nimechunguza na kugundua kwenye Road Traffic Act ya Tanzania kuna sheria ambazo hazijaainishwa vizuri haswa kwenye suala la kuvuta trailer ndogo (binafsi). Kwa wale mnaofahamu naomba muongozo.

1. Je ni halali kuvuta trela lililosajiliwa nchi nyingine? (kama lina documents zote)
2.Je ni leseni gani unaruhusiwa kuvuta trailer?
3. Ni lazima kutembea na kadi original kila wakati ukiwa na trailer?
4. Ukiachana na vifaa lazima kama taa.ni lazima kila trailer kuwa na fire extinguisher, triangle etc.

Nawasilisha,
Asanteni.
 
Back
Top Bottom