njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kuna kipindi niliona Vanessa anaimba nyimbo yake na wapiga violin ilikuwa kama orchestrals, nimeona bwana wake Rotimi atakuwepo kwenye movie hii ya coming to america 2,nikakumbuka kazi imefanyikia kwenye film studio ya Tyler perry Atlanta
Ikumbukwe Terry alishatumia hadi nyimbo ya maria salome,anyway nahisi tu,ila mzigo utakuwa mtamu sana huu Eddie murphy kama kawaida,Rotimi,teyana taylor,rick ross,wesley snipes,may be Morgan freeman.......
symphony orchestra ya vanessa hii hapa,may be inaweza kuwa mojawapo ya nyimbo zitakazotumika huko koneksheni kila mahala dunia hii